HUU NDO UNYAMA ALIOTENDEWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

Huu ndiyo unyama aliofanyiwa mwanafunzi wa chuo cha Uhasibu Arusha IAA. Alipigwa kisu na kuuwawa na watu wasiojulikana. kitendo hiki kilizua vurugu kubwa sana hapo jana maeneo ya njiro na kusababisha polisi kuingilia kati na mabomu ya machozi. fuatilia picha hizo hapo chini ni za kutisha kidogo.