Mke afumaniwa na mumewe akitoa uroda kwa rafiki wa mume huko Chalinze....
02:03TIMBWILI la aina yake liliibuka hivi karibuni katika nyumba ya kulala wageni maeneo ya Chalinze Bagamoyo kufuatia mumewe aliyefahamika kwa jina la Abuu kumnasa mkewe akiliwa uroda na rafiki yake wa karibu aliyefahamika kwa jina la Benard Celestin.... Tukio hilo la aibu lilitokea saa 11:00 alfajiri ya tarehe 27 march mwaka huu baada ya mumewe kuweka mitego mikali ...
0 comments:
Post a Comment