Mwana mama avuliwa nguo zote baada ya kukatiza stendi akiwa ndani ya kimini...................


  Biashara  zote  zilisimama  kwa  muda  katika  stendi  kuu ya mabasi  ya  Bomet  nchini  kenya wikiendi  hii  baada  ya  kundi  kubwa  la  wanaume  kumvamia  mwanamke  mmoja  aliyekuwa  amevaa  kingua  kifupi  na  kisha  kumvua  huku  wengine  wakimchezea  nyeti  zake..... Mwanamke  huyo ambaye inadaiwa  alienda  katika  stendi  hiyo  kufanya  booking  ya  basi,alikutwa  na  kisanga  hicho ...