Poor Kim K: Kanye kamcheat Kim na Iggy Azalea?
05:50Na sasa amesikia kuwa baba wa mwanae anaweza kuwa anamcheat. Perez Hilton ameripoti kuwa Yeezy anaweza kuwa na uhusiano na rapper wa kike, Iggy Azalea. Kuna tetesi kuwa Kanye na Iggy wamekuwa wakitumia muda pamoja siku za hivi karibuni na huenda akamsainisha kwenye lebel yake.
Iggy Azalea
0 comments:
Post a Comment