Sipati hamu japo napenda ngono, nitafikaje kileleni?





"Poleni na kazi, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, na nimechumbiwa. Tatizo langu ni kwamba sijawahi kujisikia hamu ya kufanya mapenzi na wala huwa sitamani kufanya ngono, lakini huwa napenda kufanya mapenzi japokuwa hamu haipo kabisa na hivyo huwa naumia kwani kufanya mapenzi bila ya kuridhika.

Wakati mwingine huwa najutia kitendo nilichokifanya yaani najuta kufanya mpenzi, Nifanyeje ili na mimi niweze kufika kileleni kwani mchumba wangu huniacha njiani mara kwa mara.