Mzee Philip Mangula afunga pingu za maisha

 Mzee Philip Mangula Afunga Pingu za Maisha na aliyekuwa mpenzi wake Yolanda Kaberege
 Ibada ya kufunga ndoa hiyo huko mjini Njombe mkoani Iringa katika kanisa la KKKT dayosisi  ya kusini Njombe

Wageni waalikwa kwenye Harusi hiyo Mh. Mizengo Pinda Waziri Mkuu wa Tanzania na Mh. Abdulrahaman Kinana Katibu Mkuu CCM wakifuatilia Ibada ya ndoa ya mzee Philip Mangula